HUMMELS AIPELEKA UFARANSA NYUMBANI

 Beki wa Ujerumani, Mats Hummels akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee timu yake katika mchezo wa Robo Fainali Kombe la Dunia Uwanja wa Maracana, Brazil dhidi ya Ufaransa na kuiwezesha kutinga Nusu Fainali ya michuano hiyo.
Mkali wa leo: Beki wa Ujerumani, Mats Hummels akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee timu yake katika mchezo wa Robo Fainali Kombe la Dunia Uwanja wa Maracana, Brazil dhidi ya Ufaransa na kuiwezesha kutinga Nusu Fainali ya michuano hiyo.
HUMMELS AIPELEKA UFARANSA NYUMBANI HUMMELS AIPELEKA UFARANSA NYUMBANI Reviewed by habari motto on 10:49 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.