KUTOKANA
na kuzidi kushamiri kwa matukio ya uhalifu nchini, huku wahusika
wakionekana kutumia sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), jeshi
hilo limeonya na kupiga marufuku wanaovaa sare za majeshi na kutumia
vifaa vyao.
Taarifa
iliyosambazwa na Kurugenzi ya Habari na Uhusiano Makao Makuu ya JWTZ
kwa vyombo vya habari jana, inaeleza kuwa hivi karibuni kumekithiri kwa
vitendo vya uovu huku wahusika wakiwa wameonekana wamevaa sare na
kutumia vifaa vya jeshi hilo.
JESHI LA TANZANIA LATOA ONYO KALII....
Reviewed by habari motto
on
9:00 AM
Rating:
Reviewed by habari motto
on
9:00 AM
Rating:
