Nafkiri sasa ni wakati Muafaka!..Mi shida yangu ni Moja tu, nahitaji nipate style Maalum ya kucheza #Mdogomdogo .. iwe kutoka kwa Kundi au mtu yoyote kutoka nyumbani... Ukiwa unaamini unaweza kutoa style na ikatumika kama Mdogomdogo Dance tafadhari ntumie kuanzia sasa Kwenye namba hii +255652427989au ipost kwenye Instagram yako kisha hash tag neno#MdogoMdogoDance nami nitairepost Hapa... Mwendo ni ule ule tu, Kikundi au Mtu atakaekuwa na Likes nyingi ndio tutaichukua Style yake na kuwa Official Dance style ya #MdogoMdogo .. Pia atapata Shilingi Milioni Moja Cash! na Kuwepo kwenye Video Mpyaaa ya Kucheza tu, iitwayo #Mdogomdogo_Instructional_Video pamoja na Team Nziiima ya Wasafi.....!!!! hii nimeipata kutoka Holland kwa @petitafricanmovesWaionaje..????

SHINDA MILLIONI MOJA(1,000,000/ TSH ) KUTOKA KWA DIAMOND...CHANGAMKA HII NI FURSA YAKO
Reviewed by habari motto
on
9:17 AM
Rating:
Reviewed by habari motto
on
9:17 AM
Rating:
