TAIFA STARS YA TANZANIA YATOKA SARE NA MSUMBIJI


Mshambuliaji nyota wa Taifa Stars, Mbwana Samatta akiwa katikati ya mabeki wa timu ya taifa ya Msumbiji. 

Mshambuliaji wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, Thomas Ulimwengu akimtoka beki wa Msumbiji, Zainadine Junior katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, wa kuwania tiketi ya Fainali za Afrika zitakazofanyika nchini Morocco mwakani. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2. 
Thomas Ulimwengu  akichuana na beki wa Msumbiji, Josemar Machaisse.
Huniwezi...Mshambuliaji wa Taifa Stars, Thomas Ulimwengu akimtoka beki wa Msumbiji, Zainadine Junior.
Mshambuliaji wa Stars, Khamis Mcha akiwa katika harakati za kufunga goli.

 Golikipa wa Stars, Deogratius Munishi akishangilia balo la pili la 
TAIFA STARS YA TANZANIA YATOKA SARE NA MSUMBIJI TAIFA STARS YA TANZANIA YATOKA SARE NA MSUMBIJI Reviewed by habari motto on 8:44 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.