DIAMOND ALICHELEWA KUFIKA UKUMBUNI WATU WALIKASIRIKA SANA NA KUANZA KUFANYA FUJO KUHARIBU VENUE IKABIDI POLISI WAITWE NA AMBULANCE NA KWAVILE WATU WALIKUWA WANA HASIRA IKABIDI DIAMOND ATOLEWE PALE NA POLICE ESCORT SO NILIVYOELELEWA NIKWAMBA HATA SHOO HAKUWEZA KUFANYA TENA,,
THAT!S ALL FOLKS!!!
source;peter shwabe
HII INASIKITISHA NINA MASWALI MENGI SANA JE PROMOTA NDIO ANA KAZI YA KUMLETA MSANII KWENYE VENUE INAKUWAJE WALIMCHELEWESHA KUJA UKUMBINI?
NA HIVI MNAMHARIBIA MSANII REPUTATION YAKE NA BRAND YAKE NA NYIE WENYEWE PIA,,JAMANI ITS TIME FOR CHANGES INTHIS INDUSTRY,,
MANENO YA DIAMOND:kiukweli nimesikitishwa sana na uandaaji wa kampuni hii ya BRITTS EVENTS iliyoandaa show ya Stuttgart Germany... kinachoniuma na kunisikitisha zaidi ni jins watu walivyoamua kujitolea kuja kutusupport vijana wao kwa wingi, halaf mwisho wa siku promoter anatupeleka wasanii kwenye show saa kumi alfajiri... najua ni kiasi gani mmeumia na kuwa disappointed... lakini naomba mtambue kuwa halikuwa ni kosa langu, coz mimi ni mgeni tu, na nafata maelekezo ya promoter...hivyo nisingeweza kujiamulia kuja muda ninaoutaka mimi...
PETER SCHWABE;After the artist had arrived with great lateness he had to leave the venue under police protection.

Diamond concert in Stuttgart Sindelfingen ends in chaos with many injured. A major use
of emergency services and police after unhappy visitors of the concert have devastated
the hall of the event. There were many injured. The concert guests waited until 4:00 AM
for hours of the artist drunken concert-goers threw bottles and vandalized the hall. From
theorganizers no one could reach up to that time.
THAT!S ALL FOLKS!!!
source;peter shwabe
DIAMOND ASABABISHA MAAFA. JE WAJUA SABABU ZA MAAFA HAYO? SHUHUDIA ALICHOKISEMA
Reviewed by habari motto
on
6:56 PM
Rating: