MKALI wa muziki wa dansi hapa nchini, Christian Bella, Jumamosi usiku alizindua albam yake ya ‘Nani Kama Mama’ ambapo umati mkubwa wa mashabiki ulijitokeza kwenye onesho hilo lililofanyika Ukumbi wa Mzalendo Pub, Kijitonyama, jijini Dar es Salaam.
Katika onesho hilo Bella alisindikizwa na Bendi yake ya Malaika Musica pamoja na wanamuziki wa kizazi kipya, Ommy Dimpoz, Banana Zorro na Matonya. Ingawa mvua ilitaka kuharibu mambo kwenye eneo hilo lililokuwa wazi, mashabiki waliofurika ukumbini hapo walikomaa mwanzo mpaka mwisho.

STORI/PICHA NA: RICHARD BUKOS / GPL
KALI KULIKO ZOTE: NA HUU NI UZINDUZI WA NANI KAMA MAMA YA CHRISTIAN BELLA.
Reviewed by habari motto
on
6:19 PM
Rating: