Binti wa miaka 11 mwenye asili ya kihindi ameonekana kuwa na hali ya maisha
tofauti baada ya kumfanya nyoka kuwa kama ndio rafiki yake,mtoto huyu anye
miliki nyoka aina ya kobra ambaye nyoka huyo hugonga na kumng'ata mara kwa
mara lakin cha ajabu ni kwamba mtoto huyu
amekuwa hasiki kabisa juu ya swala lake la kumwacha nyoka huyo na bado
akiendelea kumpa matunzo kama chakula na hata kufikia hatua ya kulala naye
kabisa katika kitanda kimoja..
daily mail na ailikuwa na haya ya kusema
“I have a lot of fun with the cobras. It hurts when they bite me, but sometimes it’s my own fault because I tease them. It’s quite funny.”
NA HUYU NDIYE BINTI MDOGO ALYEMFANYA COBRA KUWA RAFIKI YAKE MKUBWA
Reviewed by habari motto
on
12:23 PM
Rating: