Wadau
wa TMT wakiwa kwenye Red Carpet ndani ya Ukumbi wa Mlimani City katika
FAinali ya Shindano la Kusaka Vipaji vya Uigizaji lijulikanalo Kama
Tanzania Movie Talents (TMT) ambapo muda mfupi ujao Mshindi wa Shilingi
Milioni 50 za Kitanzania Atapatikana
Ceaser Daniel akiwa na Jaji wa Tanzania Movie Talents (TMT) Single Mtambalike
Kikundi Cha TMT Survivor kikitoa Burudani
Kumi Bora ya washiriki Wakiwa katika Picha ya Pamoja na Mkuru
Mwenyekiti
wa Makampuni ya Proin Bw Johnson Lukaza akiwa na Mkewe Marian Johnson
katika Dhuria Jekundu usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Mlimani City
Ambapo Fainali ya Shindano la TMT lilipofanyika na Mshindi Kupatikana.
Aliyekuwa Mshiriki wa TMT na kufanikiwa kuingia hatua ya ishirini Bora na hatimaye kutolewa kwa Uchache wa Kura,
Shiraz Ngasa akiwa katika picha ya Pamoja na Jaji Vyonne Cherrie au Monalisa katika Dhuria Jekundu
Majaji
Wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Wakijadiliana jambo kabla
ya Mtanange Wa TMT uliokuwa ukirushwa live kupitia Kituo Cha ITV kuanza
Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Bw Johnson Lukaza akitoa neno kwa
wadau
waliojitokeza kushuhudia fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT)
lililokuwa
pia likirushwa live kupitia Kituo Cha Runinga cha ITV
Mwanaafa Mwinzago (katikati) akishangilia Mara baada ya kutangazwa
Mshindi wa
Kitita Cha Milioni 50 za Kitanzania katika Fainali ya Kumsaka Mshindi wa
Shindano
la Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 lililofanyika usiku wa kuamkia leo
katika
Ukumbi wa Mlimani City na Kuhudhuriwa na Mamia ya Watanzania.
Mwanaafa Mwinzago (katikati) akiwa katika picha ya Pamoja na
wazazi wake
na timu ya wafanyakazi wa TMT na washiriki wenzie mara baada ya
kukabidhiwa mfano wa Hundi ya Shilingi Milioni 50 za Kitanzania
Mara baada
ya Kuwabwaga Washiriki wenzie tisa na Kuibuka Mshindi wa Kitita
Cha Milioni
50 za Kitanzania katika Fainali ya Kusaka Vipaji Vya Kuigiza Nchini
lijulikanalo
kama Tanzania Movie Talents (TMT) ambalo limefikia Ukingoni Jana Katika
Ukumbi wa Mlimani City.
Washiriki wa Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 waliofanikiwa
kuingia Kumi
Bora wakiwa wanasubiri mshindi atangazwe
Host Wa TMT 2014 Joti akimpongeza Baba wa Mwanaafa Mwizago kwa
Mwanae
kuibuka Mshindi wa Fainali ya Tanzania Movie Talents (TMT) na kuibuka na
kitita cha
Shilingi Milioni 50 za Kitanzania
Mwanaafa Akiwa amembeba Mdogo wake mara baada ya
kutangazwa
Mshindi wa Fainali ya Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 na kuibuka
na kitita cha Shilingi milioni 50.
Lulu akionyesha Bahasha iliyokuwa na JIna la Mshindi wa Tanzania Movie
Talents
(TMT) ambae ni Mwanaafa Mwinzago na Kumfanya kujishindia Shilingi
Milioni 50 za Kitanzania
Baadhi ya wakazi wa Jiji la Dar waliojitokeza kushuhudia fainali ya TMT
ambayo ilikua ikirushwa live kupitia ITV.
Malaika Band wakitoa Burudani wakati wa fainali ya TMT 2014 katika
Ukumbi wa Mlimani City Usiku wa Kuamkia leo.
Christian Bella Akitoa burudani kwa kuimba wimbo wa Nani kama Mama
ambao
uliamsha Shamra Shamra katika Ukumbi wa Mlimani City Usiku wa
Kuamkia leo na Mwanaafa Mwinzago Kuibuka Mshindi.
Majaji wa Tanzania Movie Talents (TMT) 2014
Joti akitoa Suprize ya ukweli haswa katika fainali ya Tanzania Movie Talents
(TMT) katika ukumbi wa Mlimani City usiku wa Kuamkia Leo
Mkurugenzi wa Kampuni ya Proin Promotions, Geofrey Lukaza akiwa na
Mkewe katikaRed Carpet Kabla ya Show Kuanza katika Ukumbi wa Mlimani City usiku wa Kuamkia leo
Mc Pilipili Akifanya Yake
Wadau wa Kampuni ya Proin Promotions Limited wakiwa katika Picha
ya Pamoja
mara baada ya MShindi wa Tanzania Movie Talents (TMT) kupatikana na
kila Mmoja kusherehekea Ushindi huo
PICHA NA MATUKIO YOTE HAPA: FAINALI YA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT)
Reviewed by habari motto
on
11:54 AM
Rating: