Kiongozi mmoja wapo wa kundi la kigaidi la boko haram linalosumbua na kutesa vichwa vya viongozi na raia nchini Nigeria Zakaria Mohammed (mwenye pich hapo juu) yasemekana ametoroka polisi lakini jeshi la polisi la nigeria lilipinga taarifa hizo
walitoa picha hizi wakati mtuhumiwa huyo alipoongea na vyombo vya habari siku ya leo kwenye jengo la polisi Abuja
UMESIKIA HII...NI KIONGOZI MMOJAWAPO WA BOKO HARAM
Reviewed by habari motto
on
6:23 PM
Rating: