UMEZIONA HIZI; NI PICHA ADIMU NYUMA YA STAGE KILI MUSIC TOURS ILIVYOFANA MBEYA

 Mashabiki wakiingia katika uwanja wa New City Pub kushuhudia Kili Music Tour

Zembwela na Dulla wa EATV katika amsha amsha kabla ya show kuanza.


 Mkali kutoka Mbeya Izzo Bizness ndani ya backstage.

 Chibwa anaefanya miondoko ya Ragga ndie aliifuungua show ya Kili Music Tour Mbeya


 Shilole akionyesha uwezo wake wa kulishambulia jukwaa ikiwa ni pamoja na kumpandisha jukwaani mmoja wa mashabiki.


Backstage: AY na DJ wake Arthur

Rich Mavoko na madansa wake stejini


 Mashabiki wakifurahia wasanii wanavyolishambulia jukwaa

 Massawe na Kimario kama wanavyopenda kuitwa waliendeleza utamaduni wao wa kufanya show kwa pamoja katika Kili Music Tour.


 Wadau wakifuatilia kinachojiri jukwaani toka pembeni ya jukwaa la Kili Music Tour.

 Mtoto wa nyumbani Izzo Bizness akiiwakilisha Mbeya katika Kili Music Tour


Shangwe la kutosha kwa mtoto wa nyumbani


 Profesa Jay akimbulisha Mbunge wa Mbeya Mjini Mheshimiwa Joseph Mbilinyi, Sugu.

Mtangazaji wa Planet Bongo, Dullah hakuwa nyuma katika kuchukua matukio yanayoendelea jukwaani.

DJ Mafuvu katika mashine akihakikisha wasanii na mashabiki wanakwenda sawa

 Zamu ya Weusi na Viburi kuifunga show ya Kili Music Tour, Mbeya


Profesa Jay na Sugu wakifuatilia michano ya Weusi


Mashabiki wakionyesha love ya kutosha kwa Weusi.
UMEZIONA HIZI; NI PICHA ADIMU NYUMA YA STAGE KILI MUSIC TOURS ILIVYOFANA MBEYA UMEZIONA HIZI; NI PICHA ADIMU NYUMA YA STAGE KILI MUSIC TOURS ILIVYOFANA  MBEYA Reviewed by habari motto on 12:09 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.