Diamond amfurahisha Wema Sepetu



diamond alifunguka akisema....


Nlitama nikupe vingi, wenda ingenisaidia kueleza ni kias gani napenda nikuone ukifurahi kwenye siku yako hii ya kuzaliwa...lakini tu, sina uwezo huo mumy... tafadhari pokea kidogo hichi nlichojaaliwa leo.... na siku zote tambua kwamba your Platnumz, love you so much...! Happy Birthday baby






Laiti kama Maneno yangelikuwa ni sumu basi amini, Penzi letu lingekuwa lishazikwa na Kuoza...Maana sjui ni kipi hakijazungumzwa.....vya furaha, Chuki, shangwe, fitina, Vita, majungu, Misukosuko na mabalaa ya kila aina....lakini siku zote tumekuwa tukipendana na kuthaminiana kama tumeanzana jana, kwakuwa tulijua si kosa lao, ni hawajui tu niwapi tulipotokea...to the world, you may be one person...But to me, you are the world, My Beautiful World...na kama kukupenda ni uwendaazimu basi ni bora Nikabaki kwenye uchizi wangu kuliko kupata Ufahamu....i may not be physically present to stand by you while you cut your cake, but you’ll be in my thoughts the whole day! Happy birthday Darling....mmeo niko nahangaika, bt i will be coming home soon....Love you mama











>>diamond facebook<<
Diamond amfurahisha Wema Sepetu Diamond amfurahisha Wema Sepetu Reviewed by habari motto on 1:05 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.