Kuna
jamaa mmoja kwa muda mrefu alikuwa na mke mdogo kwa siri katika jiji la
Ar. Siku moja katika kutenga muda wa kutosha wa kujirusha na bi mdogo
jamaa kapanga safari ya kikazi na kumuaga mke wake kuwa anakwenda Dar
kikazi wiki nzima. Kumbe huku nyuma alipanga kutanua na bi mdogo.
Baada ya starehe za usiku wa jana yake na bi mdogo huyo, jamaa akiwa ofisini aliamua kumtumia meseji ya kushukuru bi mdogo
Jamaa katuma meseji hii:
“Asante
baby kwa staili ya jana, ilikuwa kali sana na nimeipenda. Ndio maana
nakupenda wewe kuliko wanawake wote duniani” na kuituma.
Baada ya kutuma jamaa kagundua kakosea namba na ilienda kwa waifu, yaani kwa mke wa ndoa
Jamaa
katika kuhaha kuzuia meseji isimfikie mke wake alikwenda kwa wahudumu
wa VodaCom ili kuomba msaada wa kuzuia meseji na mazungumzo yakawa hivi:
Jamaa: Kuna meseji nilikuwa niitume kwa bi mdogo kwa bahati mbaya imekwenda kwa waifu wangu, je mnaweza kuizuia?
Mhudumu: Wahi kwenye mnara
Vituko; TEH TEH TEH ...Kwa picha hizi lazima ucheke
Reviewed by habari motto
on
5:59 PM
Rating: