Ali choki kafiwa na mkewe

MKURUGENZI wa Extra Bongo, Ally Chocky amefiwa na mkewe.
Mke wa Ally Chocky ambaye anafahamika zaidi kwa jina la Mama Shuu amefariki usiku wa kuamkia leo.
Chocky (pichani juu) ameithibitishia habarimotto kufariki kwa mkewe na kusema kuwa taratibu za mazishi zitatolewa baadae.
Habari motto inampa pole nyingi Ally Chocky kwa msiba mkubwa uliomfika.
Ali choki kafiwa na mkewe Ali choki kafiwa na mkewe Reviewed by habari motto on 9:02 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.