Vitabu viwili vya Eric Shigongo alivyozindua nchini Marekani juzi.
Eric Shigongo akihojiwa na Shaka Ssali (kulia) katika kipindi cha Straight Talk Africa kabla ya uzinduzi huo.
MKURUGENZI Mtendaji
wa Global Publishers, Eric James Shigongo amezindua vitabu vyake viwili
vipya vya namna ya kuondokana umaskini vyenye majina ya 10 Laws-How to
Move From Poverty to Prosperity na 26 Secrets- How to Defeat From
Enemies and Make Millions of Dollars.
10 Laws-How to Move From Poverty to Prosperity.
Shigongo alizindua
vitabu hivyo vya ujasiriamali alipokuwa akihojiwa na Kituo cha Runinga
cha Voice of America (Voa) kwenye Kipindi cha Straight Talk of Africa
nchini Marekani juzi.
26 Secrets- How to Defeat From Enemies and Make Millions of Dollars.
Kwa mujibu wa Shigongo vitabu hivyo vitakuwa vikiuzwa duniani kote ili kuikomboa jamii kwenye wimbi la umaskini.
Shigongo azindua Vitabu vyake Vipya Marekani
Reviewed by habari motto
on
7:39 AM
Rating: