Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na  Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye wakiwa katika mkutano wa hadhara katika Kata ya Kalenga, Iringa Vijini, walipoanza ziara ya siku sita za kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 pamoja na kusikiliza kero za watu na kuzitafutia ufumbuzi.Katika mkutano huo Kinana aliitaka Serikali kuandaa utaratibu mzuri wa kuwatafutia soko la uhakika wakulima.
06
Kinana akiwa amekaa na Chifu Abdul Mkwawa pamoja na wazee wa kimila wa kabila la Wahehe.
 Kinana akihutubia katika mkutano huo huku akiwa amevalia kimila.
 Kinana akishiriki kupulizia dawa katika shamba la mfano la nyanya katika Kata ya Kalenga.
 Kinana akiongozana na wananchi baada ya kukagua mradi wa ufugaji samaki na shamba la nyanya katika
Kinana akisalimiana na wananchi baada ya kuwasili katika mkutano huo.
PICHA NA RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG