Mhh huyu ndiye akiyemeza simu kuficha mchepuko

Screen Shot 2014-08-01 at 8.33.09 AM

Kuna zile habari ambazo hata ziwe zimetokea miezi au miaka mingapi nyuma, huwezi tu kuzisahau kwa sababu sio za kawaida kuzisikia au kuzishuhudia kabisa.

Tumekua tukisikia visa vingi sana vinavyotokana na mapenzi, yani pale Mwanamke au Mwanaume anakuta msg za ajabu baada ya kuchukua simu ya mpenzi wake ila hii ya Brazil ilivunja rekodi.

Ilitokea kwa binti mmoja kumeza simu muda mfupi tu baada ya boyfriend (Renato) wake kutaka kusoma msg ambapo msichana alikimbia na simu kutoka kwenye mikono ya boyfriend na kuimeza kwa kuhofia angeikamata simu
Mhh huyu ndiye akiyemeza simu kuficha mchepuko Mhh huyu ndiye akiyemeza simu kuficha mchepuko Reviewed by habari motto on 10:44 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.