Rapper Tyga Azungumzia Kutoka Young Money, Ijue Sababu, Hawa Ndio Anawachukia Sana Ndani Ya Young Money


 Rapper Tyga anaendelea kuonyesha dalili za kutaka kujitoa Young Money baada ya kuweka wazi kuwa hampendi rapper wa kundi hilo Drake.

Kwenye mahojiano na jarida la Vibe Tyga anasema "Lebel yangu ya Young Money haitahusika kwenye ubunifu wa nyimbo kwenye album yangu mpya ya The Gold Album" 

Kuhusu Drake na Nicki Minaj, Tyga anasema "Najitenga na hawa watu sababu sielewani na Drake wala Nicki Minaj, Simpendi Drake sababu yuko Fake sana, siko Young Money sababu yao, 

Niko pale sababu ya Lil Wayne, Drake ni rapper mzuri ila kibinadamu sio mtu wa kweli ni fake sana" Tyga pia anasema wasanii waliomuhamasisha kufanya vizuri ni rapper Kanye West Jay Z, Eminem, and Lil Wayne as artists who gave him inspiration.
Rapper Tyga Azungumzia Kutoka Young Money, Ijue Sababu, Hawa Ndio Anawachukia Sana Ndani Ya Young Money  Rapper Tyga Azungumzia Kutoka Young Money, Ijue Sababu, Hawa Ndio Anawachukia Sana Ndani Ya Young Money Reviewed by habari motto on 1:01 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.