Fuse ODG Anyakuwa Tuzo Ya Best Africa Act. #MOBO2014




Msanii kutoka Ghana anayeishi na kufanya kazi zake Uingereza Fuse ODG Ameshinda tuzo ya Best African Act 2014 kwenye tuzo za MOBO za mwaka 2014.

Hii ni mara ya pili kwa mfululizo Fuse anashinda tuzo hii. Fuse alikuwa akiwania tuzo hii na wasanii Davido, Wizkid, Mista Silva na Afrikan Boy. 

Fuse ODG aka Nana Richard Abiona ameng'ara na nyimbo kama Antenna, Azonto na Million Pound Girl (Badder Than Bad). 

Wimbo wake mpya ‘Dangerous Love’ Ft Sean Paul ulifika namba mbili kwenye chati za Uingereza za nyimbo bora 40.
Fuse ODG Anyakuwa Tuzo Ya Best Africa Act. #MOBO2014 Fuse ODG Anyakuwa Tuzo Ya Best Africa Act. #MOBO2014 Reviewed by habari motto on 12:57 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.