Cheki Mama Wa Kim Kadarshian Na Serengeti Boy Wake

 Kris Janner Ambae Ni Mama Wa Mwanamitindo Kim Kardashian Kaweka Mambo Hadharani Japo Mwanzoni Kulikuwa Na Uvumi ulioenea Kuwa Ana Mahusiano Na Corey Gamble.
  Lakini Kwa Sasa Kila Kitu Kipo Wazi Kutokana Na Picha Na Sehemu Wanazotembelea Wakiwa Wawili Na Kukaa Kimahaba Zaidi.
  Kris Alipoulizwa Kuhusu Mahusiano Yake Na Corey Alisema Ni Mwanaume Mzuri Mwenye Mapenzi Na Kila Mtu, Ana Mjali Mtu Yeyote ,Sio Mnywaji Na Sio Mtu Wa Kupenda Starehe ,

Licha Ya Kuachana Na Mumewe Bado Ataendelea Kuwa Rafiki Yake Na Anampa Nafasi Katika Familia  Kris Janner Ana Miaka    58 Na Corey Gamble Ana Miaka 41 


Cheki Mama Wa Kim Kadarshian Na Serengeti Boy Wake Cheki Mama Wa Kim Kadarshian Na Serengeti Boy Wake Reviewed by habari motto on 10:15 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.