Kauli kuhusu kuzaa zamtibua Wema

Kauli za ‘Wema utazaa lini’ zimemharibia siku Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. Zimemchosha kiasi kwamba Leo ameamua kuwatolea uvivu vinara wa kauli hizo and this time madame is very very angry!!
image
Akipost picha ya mbwa wake anayemtaja kuwa ndio mwanae kwenye Instagram, Wema ameandika:
Okay… Lets get things straight here…. See dat doggie up there… Y’all see her….? Dat is my bebi…. since i dont have a bebi… Huyo ndo mtoto wng… Basi sasa nitapopost afu nisikie kuzaa nakublock fasta… Mshaniona sizai basi ndo mjue sizai… Akha…!! Zaa zaa… If u have a child im happy for u… Nd wish u da best… I dont… Ndo mungu alivyonipangia… So please hey…. Watakaozaa all da best… Walio na mipango ya kuzaa hongereni… Mimi sina … Im done… Vanilla ndo bebi wangu kipenzi na nampenda kuliko…. Na wale wa subhannah llah pia nisiwaone… This is getting too personal sasa
Kauli kuhusu kuzaa zamtibua Wema Kauli kuhusu kuzaa zamtibua Wema Reviewed by habari motto on 10:16 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.