Gari Lapinduka Wakati Dereva Akiwakimbia Askari Polisi


Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi wakiangalia kwa mshangao gari aina ya Toyota Spacio, lenye namba za usajili, T111 BHW likiwa limepinduka chini juu mbele ya ofisi za TFA barabara ya Boma ,jirani kabisa na kipita shoto cha mnara wa saa ,Dereva wa gari hilo anadaiwa alikuwa akijaribu kuwakimbia askari wa kikosi cha barabarani kwa mwendo wa kasi kabla ya kugonga gari jingine na hatimaye kupinduka.hakuna aliepoteza maisha kwenye tukio hilo la ajali.
Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini 
Gari Lapinduka Wakati Dereva Akiwakimbia Askari Polisi Gari Lapinduka Wakati Dereva Akiwakimbia Askari Polisi Reviewed by habari motto on 2:51 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.