Hatimaye Miss Tanzania Kajivua Taji Rasmi

Aliyekuwa Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Mtemvu katika pozi na mshindi wa pili, Lillian Kamazima (kulia) pamoja na mshindi wa tatu, Jihhan Dimachk.
Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu amejivua taji hilo leo, mshindi wa pili, Lillian Kamazima amrithi, Lundenga athibitisha.
Hatimaye Miss Tanzania Kajivua Taji Rasmi Hatimaye Miss Tanzania Kajivua Taji Rasmi Reviewed by habari motto on 1:57 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.