Shuhudia Huyu Jamaa Aliyekamatwa Na Nyeti Za Wanaume


Pichani hapo chini nikijana anayefahamika kwa jina la Moses Shawa, kijana huyu ni mkazi wa kijiji cha Mzimba nchini south africa. Kijana huyu amekamatwa na sehemu nyeti za mwanaume kama zinavyo onekana hapo kwenye picha, amekamatwa na uume pamoja na korodani kijana huyu amekamatwa jana katika eneo la Greyward Mseketa ambapo baada ya kukamatwa amepigwa sana mpaka sasa amelazwa katika hospital ya Mzimba. Taarifa zinasema kwamba kijana huyu alikuwa na marafiki zake abapo walienda baa na kushiriki kunywa pombe na mtu wasije mfahamu, baada ya kufika huko walianza kunywa pombe wote mpaka usiku wa manane kisha ghafla wakambeba jamaa huyo na kutoweka naye, tukio ilo lilitokea siku ya juma tatu usiku. Baada ya jamaa huyo kupotea mwenye baa na lodge alilazimika kutoa taarifa kwa mwenyekiti kuwa moja ya wateja wake haonekani, kumbe jamaa huyo aliyebebwa na vijana hawa alikuwa amekodi chumba katika lodge ile. Baada ya vijana hao kumtorosha jamaa huyo walimlaza chumbani, kutokana kwamba alikuwa amelewa sana kiasikwamba haweza hata kujitambua ndipo vijana hao walipata fulsa yakuanza kumkata sehemu zake nyeti. Jamaa huyo baada ya kusikia maumivu ndipo alianza kupiga kelele na majirani kuamka na kumkuta jamaa huyo akiwa amenyofolewa sehemu zake nyeti huku akitokwa na damu nying, wakati vijana waliofanta tukio la kumkata sehemu zake nyeti wakawa wamekimbia na kutoweka katika eneo hilo.  Kitendo hiki kiliwakasilisha sana watu ndipo walipoanzisha msako wa kumtafta muharifu, baadae ndipo wakafanikiwa kumkamata kijana huyu na kumfikisha police.  Translated  Picture shows Group Village Head Moses Shawa from Mzimba in handcuffs and carrying the private parts (penis plus scrotum) of Greyward Mseteka who is now battling for his life at Mzimba Hospital. Reports gathered by MBNG indicate that the guy in the picture and some friends took the victim for a drink on Monday evening. At the time they left the beer-hole it was very late in the night and as such GVH Shawa told the victim he could lodge at his house. As the victim was deep in sleep and drunk, GVH Shawa and friends took advantage and cut off the victim's penis. After the evil act, the house the victim was in was set on fire to make it look like an accident. However, the fire was noted immediately by people leaving nearby and when they rushed to the scene, they found the victim lying in a pull of blood and was immediately rescued. Powerd by Yona Maro. CHANZO.RAHA TUPU 
Shuhudia Huyu Jamaa Aliyekamatwa Na Nyeti Za Wanaume Shuhudia Huyu Jamaa Aliyekamatwa Na Nyeti Za Wanaume Reviewed by habari motto on 1:54 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.