Vurugu za aina yake ziliibuka Bungeni jana usiku baada ya UKAWA Kugoma kuendelea na mjadala wa Bunge wakishinikiza Waziri Muhongo awajibishwe....
Vurugu hizo ziliibuka baada ya kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, mh. Freeman Mbowe kusimama na kumtuhumu Spika wa bunge kuwakumbatia wezi wa Pesa za Escrow, hali iliyowafaya wabunge wa upinzani wasimame na kuanza kuimba nyimbo za kuwataka wezi watoke ndani ya ukumbi wa bunge...
KUHUSU KUSAMBARATIKA KWA BUNGE LA TANZANIA JANA USIKU NA SPIKA KUAHIRISHA KIKAO GHAFLA
Reviewed by habari motto
on
11:04 AM
Rating: