Video; Mfanyakazi Wa Hoteli Alivyonaswa Akipekua Vitu Vya Mteja Chumbani

Screen Shot 2014-11-12 at 8.46.26 PM
Ni jinsi mfanyakazi wa hoteli alivyorekodiwa na camera ya Laptop ya mteja alieiacha kwenye chumba cha hoteli na kuacha funguo reception, baada aliporudi akajionea jinsi mfanya usafi huyo alivyopekua na kugusagusa vitu vyake.
Video; Mfanyakazi Wa Hoteli Alivyonaswa Akipekua Vitu Vya Mteja Chumbani Video; Mfanyakazi Wa Hoteli Alivyonaswa Akipekua Vitu Vya Mteja Chumbani Reviewed by habari motto on 9:52 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.