Basi la osaka lenye namba za usajili T 202 CVS linalofanya safari zake kutoka Musoma- Dar lapata ajali wilayani Bunda mkoani Mara asubuhi hii. Mtoa taarifa hakuna aliyefariki katika basi ilo lakini kuna majeruhi kadhaa. Mtoa taarifa anasema aliyesababisha ajali ni mwendesha baskeli
Ajali Mbaya Yatokea, Yahusisha Basi La Abiria Na Mwendesha Baiskeli
Reviewed by
habari motto
on
10:43 AM
Rating:
5