BREAKING NEWS: Mabaki ya ndege ya AirAsia

Askari wa Jeshi la Indonesia akiangalia nje ya ndege ya jeshi la nchi hiyo aina ya C-130 Hercules iliyokuwa ikifanya msako bahari ya Java



MAMLAKA za Indonesia zinasema kwamba zinatathmini picha  zinazoonesha mabaki yanayosadikiwa ni ya ndege ya AirAsia  iliyotoweka mwishoni mwa wiki.
Kwa mujibu wa maelezo ya wizara ya uchukuzi yaliyokaririrwa na televisheni ya CNN ya Marekani,mabaki hayo yanayohisiwa ni ya ndege  hiyo iliyokuwa na mruko namba QZ8501, yameonekana katika pwani ya jimbo la Kalimantan.
BREAKING NEWS: Mabaki ya ndege ya AirAsia BREAKING NEWS: Mabaki ya ndege ya AirAsia Reviewed by habari motto on 1:27 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.