Diamond ambaye ameweka rekodi nchini kwa kuwa msanii pekee kuchukua
tuzo tatu kwa mpigo huku tuzo hizo zikiwa ni pamoja na ya Mwanamuziki
Bora wa Kiume Afrika Mashariki, Video Bora ya Muziki wa Afro Pop,
Mwanamuziki Bora Anayechipukia hivyo alikosa tuzo moja tu ya Video Bora
kwa mwaka.
DAVIDO
“Tanzania imesimama! Diamond Platnumz ameweza tena!” aliandika
mwanamuziki huyu wa Nigeria kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram
Hawa Ni Mastaa Wakubwa Waliompigia Saluti Diamond Platinum
Reviewed by habari motto
on
9:54 AM
Rating: