wanawake hapa manispa ya Tabora inayofahamika kama HK,Mwanaume huyo ambaye amefahamika kwa jina la Ramadhani amekutwa amefariki dunia akiwa chumbani kwake katika nyumba ya kulala wageni inayofahamika kwa jina la SALAMA GUEST ambapo ilidaiwa kuwa alikuwa ameishi katika nyumba hiyo kwa muda wa siku tatu na hatimaye kufikwa na umauti.
Dada huyu inasemekana kuwa ndiye alikuwa mpenzi wake marehemu huyo Ramadhani
Baadhi ya wananchi waliofika katika Guest house hiyo kushuhudia tukio hilo.
Hii ndio HK Saloonaliyokuwa akifanyia kazi msusi huyo maarufu wa nywele za akinamama ambapo kifochake kimegubikwa na wimbi la utata kutokana na maelezo kuwa aliondoka Saloonhapo baada ya kufunga milango na kuelekea huko Guest house akiwa mzima wa afya.
Msusi Afia Guest House, Kifo Chake Chagubikwa Na Utata
Reviewed by habari motto
on
4:22 PM
Rating: