Ajali iliyohusisha magari mawili imesababisha waliokuwa kwenye gari dogo kupoteza maisha maeneo ya Nzega mkoani Tabora hapo juzi, inasemekana chanzo cha ajali ni speed ya gari dogo na mvua kubwa iliyokuwa inanyesha eneo hilo.
Hii Ni Ajali Iliyouwa Watu Wawili Nzega Tabora
Reviewed by
habari motto
on
8:26 PM
Rating:
5