Home / Entertainment / Nicki Minaj ataja nyimbo zitakazokuwepo kwenye ‘The Pinkprint’, upo aliomshirikisha Beyonce Nicki Minaj ataja nyimbo zitakazokuwepo kwenye ‘The Pinkprint’, upo aliomshirikisha Beyonce
Nicki Minaj ameweka wazi orodha ya nyimbo zitakazopatika kwenye album yake ijayo, ‘The Pinkprint’.
Kwa mujibu wa orodha hiyo ambayo rapper huyo aliionesha kwenye Instagram jana, album hiyo inayosubiriwa kwa hamu ina nyimbo 19 zikiwemo alizowashirikisha Beyonce Knowles na Ariana Grande.
Home / Entertainment / Nicki Minaj ataja nyimbo zitakazokuwepo kwenye ‘The Pinkprint’, upo aliomshirikisha Beyonce Nicki Minaj ataja nyimbo zitakazokuwepo kwenye ‘The Pinkprint’, upo aliomshirikisha Beyonce
Reviewed by habari motto
on
11:09 AM
Rating: