Mrembo Jokate Mwegelo katika kusheherekea sikukuu ya X Mas Dec 27 ametoa msaada kwa watoto yatima wanaolelewa katika kituo kilichopo Tandale, Dar es Salaam.
Hizi ni baadhi ya picha za Jokate alipotembelea kituo hicho na kukabidhi msaada huo.
PICHA na: MILLAD AYO
Jokate atoa msaada kwenye kituo cha Watoto Yatima Tandale (picha)
Reviewed by habari motto
on
4:12 PM
Rating: 5