Mmiliki Wa Nyumbani Park Avamiwa Na Majambazi

Mkurugenzi mtendaji wa Nyumbani Park & Samaki Sport Farida mess Matlou alivamiwa na majambazi na kumjeruhi.Tukio hilo lilitokea usiku wa Trh 19 kuamki 20 maeneo ya nyumbani kwake Kihonda.
 
Sehemu alizoathilika
  Mkurugenzi huyu alivamiw ausiku wa saa saba alipokuwa akitokea ofisini kwake ( Nyumbani Park) akirejea nyumbani kwake maeneo ya Kayenzi M/Songo ndipo alipofika Nyumbani kuteremka ndani ya gari ili aingie ndani na kuvamiwa na majambazi hao waliomjeruhi sehemu za kichwani na kupora zaidi ya  pesa taslim Ml 20 za kitanzania.

   Kwa taarifa zilizofikia mtandao huu ni kwamba tayari watu wawili wamekatwa kuhusishwa na tukio hilo.
- See more at: http://ubalozini.blogspot.com/2014/12/mmiliki-wa-nyumbni-park-avamiwa.html#sthash.iFyJtrJt.dpuf
Mmiliki Wa Nyumbani Park Avamiwa Na Majambazi Mmiliki Wa Nyumbani  Park  Avamiwa Na Majambazi Reviewed by habari motto on 4:22 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.