Askari Polisi wakiwapakia baadhi ya Wafanyabiashara ndogo ndogo(MMACHINGA) walioleta vurugu maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Salaam leo.
Mkazi wa jiji akisaidiwa na wasamalia wema baada ya kuzimia kutokana na kupatwa na mstuko baada ya Polisi kupiga Mabomu katika sakata hilo.
Mkazi wa jiji akisaidiwa na wasamalia wema baada ya kuzimia kutokana na kupatwa na mstuko baada ya Polisi kupiga Mabomu katika sakata hilo.
Baadhi ya Mashuhuda wakisaidia Mkazi huyo kuhakikisha anapelekwa katika kupata Huduma ya kwanza.
Shuhudia Jinsi Tafrani Ilivyotanda Kariakoo Jijini Dar- Es- Salaam
Reviewed by habari motto
on
10:51 PM
Rating: