Kesho ndo kesho.... MWADUI FC vs STAND UNITED watapimana nguvu pale CCM kambarage

Stand Fc
Mwadui FC
Waswahili wanasema mafahari wawili wakikutana kinachoumia ni nyasi ndivyo ambavyo

 Shinyanga baina ya Stand United Fc dhidi ya Mwadui fc mchezo utakaopigwa katika uwanja 
wa ccm Kambarage mjini Shinyanga kuanzia saa kumi jioni

Ikumbukwe timu hizi zilikuwa katika kundi moja mwaka jana katika ligi daraja la 

kwanzaTanzania bara,hivyo mchezo wa kesho utakuwa ni mkali na wa kusisimua kwani timu

 zote zina vikosi vizuri na zimefanya usajili katika dirisha dogo.
Kesho ndo kesho.... MWADUI FC vs STAND UNITED watapimana nguvu pale CCM kambarage Kesho ndo kesho.... MWADUI FC vs STAND UNITED watapimana nguvu pale CCM kambarage Reviewed by habari motto on 10:49 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.