VIDEO: Shuhudia Wafunga Harusi Wakiwa Uchi Kabisa

Maharusi hao wakidansi uchi baada ya kufunga ndoa.
Tukio hili lilijiri mwaka jana mwishoni ila nimeona nirudie kuipost hii kutokana na maombi ya wengi! 

TUENDELEE! Bwana na bibi harusi Gypsy Taub na Jaymz Smith walifunga ndoa katika harusi ya aina yake ambapo wanaharusi hao walikuwa uchi wa mnyama. Harusi hiyo ilifanyika katika jiji la San Fransisco, California, nchini USA na ilishuhudiwa na umati wa ndugu, marafiki, na watu wengine waliotaka kujionea. Kwa ambao umri unaruhusu, kuicheki video hiyo===>>BONYEZA HAPA!

VIDEO: Shuhudia Wafunga Harusi Wakiwa Uchi Kabisa VIDEO: Shuhudia Wafunga Harusi Wakiwa Uchi Kabisa Reviewed by habari motto on 10:37 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.