35 Wafarik Dunia Wakisherekea Mwaka Mpya

Mwaka Mpya: Maafa China 35 wafariki

Sherehe za kuupokea mwaka mpya 2015 zimeguka kuwa majonzi baada ya watu thelathini na watano kufa kwenye taharuki ya kukanyagana kwenye msongamano wakati wakiiupokea mwaka mpya.
Maafa hayo yametokea katika mji Shanghai ambapo maelfu ya watu walikuwa wamekusanyika ili kuupokea mwaka mpya.
35 Wafarik Dunia Wakisherekea Mwaka Mpya 35 Wafarik Dunia Wakisherekea Mwaka Mpya Reviewed by habari motto on 2:19 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.