TIMU ya Mtibwa Sugar leo imetangulia fainali na kuwasubiri Simba katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi, ambapo Simba pia wakikata tiketi usiku huu baada ya kuichapa Polisi Zanzibar bao 1-0.
Mtibwa Sugar wao wamepenya katika fainali hizo baada ya kuitoa JKU kwa mikwaju ya penati 4-3 baada ya timu hizo kumaliza dakika 90 bila kufungana katika mchezo uliochezwa leo jioni katika uwanja wa Aman mjini Zanzibar.
Fainali Kombe La Mapinduzi; Mtibwa Vs Simba
Reviewed by habari motto
on
10:26 AM
Rating:
Reviewed by habari motto
on
10:26 AM
Rating:

