Ni mmiliki wa kanisa kubwa kuliko yote nchini Kenya linalojulikana kwa jina la Jubilee Christian Centre ambayo yanawavutia wengi kutokana na kuongoza makongamano ya kitajiri nchini Kenya, kanisa hilo ni kubwa sana mpaka kufikia kuwa na matawi yake nchini Marekani.
Mmiliki wa kanisa hilo Allan Kiuna anafamilia yake yenye watoto watatu wa kwanaza anaitwa Vanessa mwenye miaka 23 ambaye anasoma Australia pamoja na wadogo zake Stephanie na Jeremy bila ya kumsahau mkewe
Sasa siku ya jana alifanya kioja baada ya kupost picha yake na mtoto wake Vanessa akiwa ndani ya Bikini na kuandika hivi.
"Awesome master piece of God's creation!!!"

Hahaha baba anamnadi mtoto wake lol
Mchungaji Amnadi Mtoto Wake Mtandaoni
Reviewed by habari motto
on
4:37 PM
Rating: