Nay Wa Mitego a.k.a The True Boy ametoa kauli nyingine ambayo inaonekana wazi kuwa inamlenga rapper Nikki Mbishi.![Nay true boy](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_tdxWopYAbdL8voZIxrBQfIOGya47WvKkliw810uDSRwEYhGTy2k0feh9xGkjlxnbpfI2JQOkSB6K_pr6wDlenY5W91t6BnFW0nWhlbzIbH4bWLEYPFqurAX6MCX59r7ZcaTGTX=s0-d)
Baada ya hivi karibuni ‘kumpongeza’ rapper huyo kwa uamuzi wake wa kuacha muziki na kudai kuwa alichelewa sana kuchukua uamuzi huo, ameandika ujumbe mwingine unaoashiria kuwa ni dongo lingine kwa Nikki Mbishi.
Kupitia Facebook Nay ameandika:
“Hawa wanaosanda gemu, watuachie muziki wetu. au yawezakua kick ikuboost kwa wasiokujua kama ulikua unafanya music.#kilimoUti #waMgongo #teamAkadumba”
“Hawa wanaosanda gemu, watuachie muziki wetu. au yawezakua kick ikuboost kwa wasiokujua kama ulikua unafanya music.#kilimoUti #waMgongo #teamAkadumba”
Nay Wa Mitego: Hawa wanaosanda gemu, watuachie muziki wetu, dongo Lingine
Reviewed by habari motto
on
8:56 AM
Rating: