Rais Kikwete Aagana na Mabalozi wa Tanzania Nchini Canada na Rwanda

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mhe Ali Siwa, Balozi waTanzania nchini Rwanda aliyefika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa January 9, 2015 kuaga rasmi kabla ya kwenda kuripoti kwenye kituo chake cha kazi
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mhe Jacky Zoka, Balozi wa Tanzania nchini Canada aliyefika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa January 9, 2015 kuaga rasmi kabla ya kwenda kuripoti kwenye
kituo chake cha kazi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na  Mhe Jacky Zoka, Balozi wa Tanzania nchini Canada na Mhe Ali Siwa, Balozi wa Tanzania nchini Rwanda,  walipofika  Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa January 9,2015   kuaga rasmi kabla ya kwenda kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi.(Picha na Ikulu)
Rais Kikwete Aagana na Mabalozi wa Tanzania Nchini Canada na Rwanda Rais Kikwete Aagana na Mabalozi wa Tanzania Nchini Canada na Rwanda Reviewed by habari motto on 11:48 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.