Fahali avutishwa bangi kupigana


Fahari aliyepewa jina la Messi alimcharaza mpinzani wake Simba na kudhirihisha ubabe wake. Fahari huyo alipewa jina hilo la utani la Messi kuonyesha umarufu wake wa kupigana kama mchezaji hodari wa kandanda wa klabu ya Barcelona Lionel Messi. Pigano hilo la mafahali lilifanyika katika uwanja wa Bukhungu kaunti ya Kakamega eneo la magharibi nchini Kenya wikendi iliyopita. Katika pamoja hilo fahali mmoja alivutishwa bangi ili ashinde pambano Mwandishi wa Nairobi John Nene alihudhuria pambano hilo na hii hapa ni taarifa yake.
Fahali avutishwa bangi kupigana Fahali avutishwa bangi kupigana Reviewed by habari motto on 11:01 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.