Hussein Machozi Ndani Ya Kashfa Nyingine Tena Mpya


Baada ya mwanamuziki Hussein Machozi kudaiwa kumtelekeza mkewe aliyemuoa nchini Kenya, hivi karibuni picha yake imenaswa akiwa kimahaba na mwanamke  mwingine wa Kizungu.

Picha hiyo inamuonesha Hussein akiwa kifua wazi huku mwanamke huyo akimchezea kifua sambamba na kumng’atang’ata shingoni .
 
Hussein Machozi Ndani Ya Kashfa Nyingine Tena Mpya Hussein Machozi Ndani Ya Kashfa Nyingine Tena Mpya Reviewed by habari motto on 7:04 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.