Mabingwa wapya wa Kombe la Mataifa Afrika 2015, Ivory Coast wakipozi na kombe.
Straika wa Manchester City, Wilfried Bony akiwa amembeba shujaa wa Ivory Coast Boubacar Barry (katikati), aliyefunga penalti ya mwisho
Patashika wakati wa fainali ya usiku wa kuamkia leo.
TIMU ya Ivory Coast imetwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa Afrika 2015 baada ya ushindi wa penalti 9-8 dhidi ya Ghana baada ya kutoka suluhu katika dakika 120 za mchezo.Fainali hiyo imepigwa huko Bata nchini Equitorial Guinea usiku huu.
VIKOSI:
Ghana (4-3-3): Razak; Boye, Rahman, Mensah, Afful; Mubarak, Acquah, Ayew; Atsu (Acheampong, 115), Gyan (Agyemang-Badu, 120) Appiah (Ayew, 98)
Wachezaji waliokuwa benchi na hawakutumika: Sowah, Gyimah, Awal, Rabiu, Asante, Otoo, Amartey, Accam, Dauda
Ivory Coast (4-4-2): Barry; Bailly, Aurier, Kanon, Toure; Tiene (Kalou, 114), Die, Toure, Gradel (Doumbia, 66); Bony, Gervinho (Tallo, 120)
Wachezaji waliokuwa benchi na hawakutumika: Mande, Viera, Roger, Doukoure, Akpa Akpro, Diomande, Traore
Ivory Coast Waweka Historia AFCON 2015
Reviewed by habari motto
on
10:39 AM
Rating: