TFF imeamka sasa baada ya kuamua kumfungia kitasa wa Mbeya City Juma Said Nyosso
Nyosso atakaa nje mechi nane baada ya kumdhalilisha Mshambuliaji wa Simba Elias Maguri wapokutana January 28 Mwaka huu

Pamoja na Nyosso Beki wa Azam Fc Agrey Morris naye amefungiwa mechi 3 baada ya kumpiga Kiwiko kiungo Mshambuliaji wa Simba Sc Emmanuel Okwi timu hizo zilipokutana January 25 mwaka huu
Juma Nyosso afungiwa Mechi 8 kwa kumdhalilisha Maguri,Morris
Reviewed by habari motto
on
6:43 PM
Rating:
Reviewed by habari motto
on
6:43 PM
Rating: