Msanii wa Bongo Movies Akiri Kufanya Biashara ya Kubeba Unga na Kuwauza Wasichana Wenzake kwa Wanaume

Habari Motto Blog: Akihojiwa na Mtandao wa GPL Msanii Lungi Ameulizwa Maswali Mbali mbali , ambayo yamenishtua kidogo ni haya mawili hapa chini ambayo amekiri yote kuwahi kuhusika nayo

Ijumaa: Wafanyabiashara wengi hasa wanaokwenda nchi hizo ulizotaja wanadaiwa kufanya biashara ya ‘sembe’. Wewe ushawahi kubeba mzigo?

Lungi: Ukweli nimewahi kubeba unga na kuwa mfanyabiashara mzuri tu lakini nimeacha kwani niligundua ni biashara mbaya sana na naomba Mungu anisamehe.

Ijumaa: Unatajwa kuwa mmoja wa mastaa wenye tabia ya kuwaunganisha wenzako kwa wanaume, hili nalo likoje?

Lungi: Ilikuwa zamani lakini sasa nimeacha, nimeona ni kazi isiyo na manufaa kwangu.
Msanii wa Bongo Movies Akiri Kufanya Biashara ya Kubeba Unga na Kuwauza Wasichana Wenzake kwa Wanaume Msanii wa Bongo Movies Akiri Kufanya Biashara ya Kubeba Unga na Kuwauza Wasichana Wenzake kwa Wanaume Reviewed by habari motto on 6:49 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.