P Unit feat. Yemi Alade- ‘Different’. Kwa time yako unaweza kuisikiliza hii audio mpya hapa

PUnit feat. YEMI
Kuna story ambayo ilishtua fans wa muziki Afrika Mashariki, hii ni ule uvumi kwamba eti P Unit walikuwa wanaelekea kutengana!
Frasha aliikanusha hiyo, wamethibitisha kwa vitendo kwamba P Unit bado iko na sisi tena na tena, wana ngoma mpya ambayo humo ndani yuko mdada ambaye Afrika inaujua uzuri na ubora wa kazi zake, Yemi Alade.
Tuna ushahidi wa P Unit kufanya ngoma kali kama ile Mobimba waliyomshirikisha Alicios, tuisikilize na hii halafu tuone kama muungano wao umetoa ladha amazing hivi..Insurance 

KUTAZAMA PICHA na VIDEO YAKE AKIWA UCHI BONYEZA HAPA CHIN>>>>



P Unit feat. Yemi Alade- ‘Different’. Kwa time yako unaweza kuisikiliza hii audio mpya hapa P Unit feat. Yemi Alade- ‘Different’. Kwa time yako unaweza kuisikiliza hii audio mpya hapa Reviewed by habari motto on 12:59 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.