Shuhudia Jinsi Unga Mbovu Ulivyoteketezwa

 Magari yakipakia Unga wa ngano mbovu katika godauni lililokuwa la Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar (ZFDB) Mnazi mmoja, unga huo haufai kwa matumizi ya binadamu
 Unga wa ngano mbovu tani 70 uliokamatwa ukiwa sokoni na mafisa wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar ukimwagwa eneo la Zingwezingwe Mkoa wa Kaskazini ''B'' Unguja tayari kawa kuangamizwa.

Gari aina ya Kijiko likichukua mchanga kuchanganya na unga ulioharibika kwa lengo la kuangamiza katika kijiji cha Zingwezingwe Mkoa wa Kaskazini ''B'' Unguja.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Shuhudia Jinsi Unga Mbovu Ulivyoteketezwa Shuhudia Jinsi Unga Mbovu Ulivyoteketezwa Reviewed by habari motto on 6:33 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.