Mbwa huyo wa Polisi ambaye anaitwa Judge amepewa heshima na kuagwa kishujaa, kaandaliwa na gwaride pamoja na kupigiwa saluti na Polisi tukio ambalo lilishuhudiwa pia watu wa haki za wanyama.
Tangu ameanza kuumwa 2013 hali ya afya yake haikuwahi kuwa nzuri, watu wa haki za wanyama waliona ni vizuri ‘astaafishwe’ na pia wakashauri aendelee kupatiwa matibabu katika Hospitali ya wanyama ya Swedesboro.
Huu ni msafara wa gari zilizombeba mbwa huyo.
Tukio hilo sio geni sana kwa wenzetu, kuliwahi kuwa na story ya ishu ya mbwa mmoja wa Polisi ambaye alizikwa kwa heshima kama ambavyo huwa mazishi ya askari yanafanyika.Angalia picha hapa chiniInsurance
Shuhudia Mbwa Wa Polisi Alivyoagwa Kishujaa
Reviewed by habari motto
on
11:09 AM
Rating: