Ajali Nyingine Mbaya Yatokea Morogoro



Watu wawili wamekufa katika Ajali nyingine iliyotokea muda mfupi uliopita huko mikumi kati ya basi T179CRG mali ya Fm safari linalotoka jiji la Dar es salaam kwenda jiji la mbeya na lori aaina ya Fuso. Tutaendelea kukujuza
Ajali Nyingine Mbaya Yatokea Morogoro Ajali Nyingine Mbaya Yatokea Morogoro Reviewed by habari motto on 6:14 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.